Mshambuliaji Luis Suarez akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Barcelona katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Sporting Gijon Uwanja wa Manispaa ya El Molinon mjini Gijon kwenye mchezo wa La Liga. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Rafinha, Neymar mawili na Arda Turan PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment