Nyota wa Barcelona, Lionel Messi akiondoka uwanjani baada ya kuumia timu yake ikilazimishwa sare ya 1-1 nyumbani na Atletico Madrid katika mchezo wa La Liga usiku huu. Ivan Rakitic alianza kuifungia Barca dakika ya 41, kabla ya Angel Correa kuisawazishia Atletico dakika ya 61. Barcelona imesema Messi atakuwa nje kwa wiki tatu kufutia kuumia nyonga PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago


.png)
0 comments:
Post a Comment