• HABARI MPYA

  Jumatano, Septemba 28, 2016

  HAWA NDIYO MABINGWA WA KWANZA WA MECHI YA NGAO TANZANIA

  Kikosi cha Yanga SC kabla ya mchezo wa kwanza kabisa wa Ngao ya Jamii dhidi ya mahasimu, Simba SC mwaka 2001 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam. Kutoka kulia waliosimama Chibe Chibindu, Waziri Mahadhi, Mohamed Abubakar ‘Phantom’, Iddi Moshy, Mohamed Abdulkadir ‘Tash’ na Mtwa Kihwelo. Waliochuchumaa kutoka kulia ni Yahya Issa, Edibily Lunyamila, Doyi Moke, Ally Mayay na Said Maulid ‘SMG’. Yanga ilishinda 2-1
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HAWA NDIYO MABINGWA WA KWANZA WA MECHI YA NGAO TANZANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top