• HABARI MPYA

  Alhamisi, Septemba 22, 2016

  SERENGETI BOYS WALIVYOONDOKA LEO KWENDA KAMBINI RWANDA

  Wachezaji wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys wakiwa nje ya ndege ya shirika la Rwanda Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam tayari kwa safari ya Kigali kwenda kuweka kambi ya zaidi ya wiki moja kujiandaa na mchezo wa mwisho wa mchujo wa kufuzu Fainali za vijana Afrika mwakani Madagascar dhidi ya wenyeji Komgo - Brazaville baada ya Jumapili kushinda 3-2 kwenye mchezo wa kwanza Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. na ushei kujaimeondoka saa 3.00 asubuhi kwenda Kigali, Rwanda. Serengeti Boys iliyoondoka saa 3:00 inatarajiwa kutua Kigali saa 4.30 asubuhi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SERENGETI BOYS WALIVYOONDOKA LEO KWENDA KAMBINI RWANDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top