• HABARI MPYA

  Jumatano, Septemba 21, 2016

  HUYU KAUZWA SHILINGI NGAPI OMAN? AMESAINI MIAKA MIWILI FANJA

  Mshambuliaji wa Simba SC, Danny Lyanga akikabidhiwa mkataba wake na kiongozi wa Fanja jana baada ya kufuzu majaribio. Lyanga awali alifanya majaribio Oman Club, ambako pamoja na kufuzu hakusaini, akasaini Fanja mkataba wa miaka miwili. Haijajulikana Simba SC imemuuza kwa kiasi gani cha fedha mchezaji huyu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HUYU KAUZWA SHILINGI NGAPI OMAN? AMESAINI MIAKA MIWILI FANJA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top