![]() |
| Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akivuta mguu kupiga shuti mbele ya mebeki wa Sagrada Esperanca |
![]() |
| Beki wa Yanga, Juma Abdul akipitisha mguu katikati ya miguu ya mchezaji wa Sagrada Esperanca kuondosha mpira |
![]() |
| Kipa wa Sagrada Esperanca akidaka mpira wa juu dhidi ya wachezaji wa Yanga, huku akilindwa na mabeki wake |
![]() |
| Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akiambaa na mpira pembeni ya mchezaji wa Sagrada Esperanca |
![]() |
| Mashabiki wa Yanga kwa raha zao leo Uwanja wa Taifa |
![]() |
| Simon Msuva akishagilia kibabe mbele ya jukwaa la mashabiki wa Simba baada ya kuifungia Yanga bao la kwanza |









.png)
0 comments:
Post a Comment