Mshambuliaji wa Sunderland, Jermain Defoe akiwa amevua jezi kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la tatu katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Chelsea jioni ya leo Uwanja wa Light. Mabao mengine ya Sundeland yamefungwa na Wahbi Khazri na Fabio Borini, wakati ya Chelsea yamefungwa na Diego Costa na Nemanja Matic PICHA ZAIDI GONGA HAPA
NELFUND condemns tuition refund delays
-
NELFUND condemns tuition refund delays and arbitrary fee hikes, pledging to
protect students and ensure compliance with the student loan scheme.
The post...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment