Nahodha wa Leicester City, Wes Morgan (wa pili kulia) wakiwa wameinua taji la ubingwa wa Ligi Kuu ya England na kocha Claudio Ranieri (katikati) baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Everton Uwanja wa King Power leo. Mabao ya Leicester yamefungwa na baada ya ushindi wa 3-1 Jamie Vardy mawili moja kwa penalti, huku pia akikosa penalti moja na lingine Andy King, wakati la Everton limefungwa na Kevin Mirallas PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'He doesn't look right AT ALL': Gary Neville and Roy Keane lead critics in
picking out Bukayo Saka and other wingers as England's World Cup problem -
and predict when they will be knocked out
-
Saka has been having a persistent Achilles problem managed by the FA, after
playing through pain during the run-in for Arsenal at the end of last
season.
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment