Mshambuliaji wa Real Madrid, Mreno Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia timu yake mabao yote katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Deportivo La Coruna katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumamosi. Kwa mabao hayo, Ronaldo ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kihistoria kufunga mabao zaidi ya 50 kwa misimu sita mfululizo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
N300m criminal eviction: Court issues fresh bench warrant, orders security
agencies to arrest police officer
-
Justice Samira Bature of the FCT High Court, Maitama, Abuja, has issued a
fresh bench warrant directing all law enforcement agencies to arrest a
police o...
6 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment