Mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic akiinua taji la Ligue 1 na wachezaji wenzake wa Paris Saint-Germain Uwanja wa Parc des Princes baada ya kuisaidia timu yake hiyo kutwaa tena ubingwa wa Ufaransa, kufuatia ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Nantes, yeye akifunga mabao mawili. Mabao mengine ya PSG yamefungwa na Lucas Moura na Marquinhos PICHA ZAIDI GONGA HAPA
N300m criminal eviction: Court issues fresh bench warrant, orders security
agencies to arrest police officer
-
Justice Samira Bature of the FCT High Court, Maitama, Abuja, has issued a
fresh bench warrant directing all law enforcement agencies to arrest a
police o...
5 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment