Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza kati ya mawili (dakika za 26 na 59) katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Valencia jioni ya leo Uwanja wa Santiago Bernabeu kwenye mchezo wa La Liga. Bao lingine la Real limefungwa na Karim Benzema dakika ya 42, wakati ya Valencia yamefungwa na Rodrigo dakika ya 55 na Andre Gomes dakika ya 81 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Jen Psaki Blasts JD Vance as a ‘Loser, Loser, Loser’ After Poor Attendance
at Turning Point Event and Failure in Hungary | Video
-
Jen Psaki didn't hold back when commenting on JD Vance's recent appearance
at a Turning Point USA event and his failure campaigning for Viktor Orbán
in Hun...
49 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment