Mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez (katikati) akimpongeza mchezaji mwenzake, Lionel Messi (kulia) baada ya Muargentina huyo kuifungia timu yake bao la kwanza dakika ya nane katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Espanyol kwenye mchezo wa La Liga. Kushoto ni Dani Alves na mabao mengine ya Barca yamefungwa na Suarez dakika ya 52 na 61, Rafinha dakika ya 74 na Neymar dakika ya 83 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
U.S. declaration to exit USMCA to start a decade-long countdown for the pact
-
By David Lawder WASHINGTON, June 30 (Reuters) - U.S.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment