Wachezaji wa Wales wakishangilia uwanjani baada ya mchezo dhidi ya wenyeji Bosnia-Herzegovina ambao walifungwa 2-0 Uwanja wa Bilino Polje Jumamosi. Wales imejihakikishia ya kucheza Fainali za Euro 2016 pamoja na kufungwa kwa mabao ya Milan Djuric na Vedad Ibisevic lakini Wales imetinga fainali za Euro baada ya Israel kufungwa na Cyprus. Hii itakuwa mara ya kwanza kwa Wales kucheza fainali za michuano mikubwa tangu mwaka 1958 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment