• HABARI MPYA

  Friday, December 05, 2014

  RONALDO ALAMBA TUZO NYINGINE YA DUNIA

  MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Ureno, Cristiano Ronaldo ameendelea kujivunia heshima kubwa kwenye kwenye soka, kufuaria kupatiwa tuzo nyingin, ambayo ni ufungaji hodari wa mabao duniani.
  Tuzo yake ya sasa inatoka Shirikisho la Kimataifa la Historia ya Soka na Takwimu (IFFHS) baada ya kufunga mabao 69 kwenye mashindano yote kwa kabu yake, Real Madrid na timu yake ya taifa, Ureno na kuwa mfungaji bora mwaka 2013.
  Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29alipokea tuzo yake hiyom mpya jana, na moja kwa moja akaenda kutamba nayo kwenye akaunti yake ya Instagram.
  Cristiano Ronaldo uploaded the above picture via Instagram with his award for top goalscorer of 2013
  Cristiano Ronaldo ameposti picha hii Instagram akiwa na tuzo yake mpya baada ya kuibuka mfungaji bora mwaka 2013Ronaldo (left) converts a penalty in El Clasico against Barcelona in October at the Santiago Bernabeu 
  Ronaldo (kushoto) akifunga kwa penalti kwenye El Clasico dhidi ya Barcelona Oktoba Uwanja wa Santiago Bernabeu 
  Ronaldo ameposti picha hiyo pamoja na maelezo yasemayo; "Nasikia heshima kushinda tuzo ya ufungaji bora wa dunia mwaka 2013 kutika Shirikisho la Kimataifa ya Historia ya Soka na Takwimu . Asanteni wote,".
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO ALAMBA TUZO NYINGINE YA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top