• HABARI MPYA

  Wednesday, December 03, 2014

  MASHABIKI BARCA WAKATAA JEZI MPYA

  MASHABIKI wa Barcelona wamepaza sauti kuonyesha namna wasivyoridhishwa na jezi mpya za msimu ujao za klabu hiyo zilizotambuliwa ambazo zitakuwa za ngazi ngazi badala ya mistari ya kushuka chini.
  Katika miaka 115 ya historia klabu hiyo haijawahi kuvaa jezi za ngazi ngazi na mashabiki wa klabu hiyo ya Katalunya hawataki utamaduni huo uvunjwe.
  Karika kura zilizopigwa kufanya maamuzi, asilimia 78 ya mashabiki wamesema hawapendi timu itumie jezi hizo mpya msimu ujao.
  Lionel Messi wears the traditional striped jersey during a triumphant season three years ago
  Lionel Messi wears the traditional striped jersey during a triumphant season three years ago
  Lionel Messi akiwa amevalia jezi za asili za Barcelona miaka miatatu iliyopita
  Henrik Larsson,Giovanni Van Bronckhorst, Carles Puyol, Ronaldinho and Xavi celebrating eight years ago
  Henrik Larsson,Giovanni Van Bronckhorst, Carles Puyol, Ronaldinho na Xavi wakishangilia na jezi za asili za Barca miaka nane iliyopitaRomario scores the second goal in a 4-0 win against Manchester United at the Nou Camp in 1994-95 
  Romario akiifungia Barca katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Manchester United Uwanja wa Nou Camp msimu wa 1994-95 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MASHABIKI BARCA WAKATAA JEZI MPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top