• HABARI MPYA

    Monday, April 14, 2014

    AZAM FC ILIVYOTWAA UBINGWA WA LIGI KUU JANA SOKOINE MJINI MBEYA

    Wachezaji wa Azam FC wakimpongeza mfungaji wa bao lao la kwanza jana dhidi ya Mbeya City katika ushindi wa 2-1 jana Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Ushindi huo umeihakikishia Azam FC ubingwa wa Ligi Kuu.
    Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akiwatoka mabeki wa Mbeya City jana
    Gaudence Mwaikimba kulia akiwania mpira dhidi ya wachezaji wa Mbeya City
    Gaudence Mwaikimba akimiliki mbele ya wachezaji wa Mbeya City
    Gaudence Mwaikimba kulia akiwatoka wachezaji wa Mbeya City
    Mwenyekiti wa Azam FC kushoto, Sheikh Said Mohammed
    Katibu wa Azam FC, Nassor Idrissa 'Father' kulia akizungumza na Mzee Jamal Bakhresa kushoto wakati mechi ikikaribia kuanza
    Wachezaji wa Mbeya City wakimzonga refa Nathan Lazaro jana
    Mashabiki jukwaani wakiwa na miamvuli
    Kiungo wa Azam FC, Himid Mao akimtoka mchezaji wa Mbeya City
    Mabingwa; Kikosi cha Azam FC jana Uwanja wa Sokoine
    Kikosi cha Mbeya City ambacho kimejihakikishia nafasi ya tatu katika Ligi Kuu
    Mashabiki wakiwa Uwanja wa Sokoine jana.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC ILIVYOTWAA UBINGWA WA LIGI KUU JANA SOKOINE MJINI MBEYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top