• HABARI MPYA

  Jumapili, Aprili 27, 2014

  MAN CITY YACHINJA 2-0...NI JINO KWA JINO NA LIVERPOOL NA CHELSEA KILELENI

  MWANASOKA bora wa Afrika, Yaya Toure amerejea kwa kishindo na kuiwezesha Manchester City kurejea kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya England kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji Crystal Palace.
  Toure alimtengenezea nafasi ya kufungta bao la kwanza Edin Dzeko dakika ya nne ambalo linakuwa bao lake la 24, kabla ya yeye mwenyewe kufunga bao lake la 23 msimu huu dakika ya 43.
  City inabaki nafasi ya tatu sasa ikiwa inazidiwa pointi tatu na vinara Liverpool na pointi moja Cheslea iliyo nafasi ya pili.
  Pole position: Manchester City moved back into the driving seat in the title race with victory at Crystal PalaceTunatisha: Samir Nasri akishangilia na Edin Dzeko na juu ni Yaya Toure akishangili bao lake
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY YACHINJA 2-0...NI JINO KWA JINO NA LIVERPOOL NA CHELSEA KILELENI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top