• HABARI MPYA

  Jumapili, Aprili 27, 2014

  ATLETICO MADRID HAIKAMATIKI LA LIGA, REAL NA BARCA ZIANDIKE MAUMIVU TU MWAKA HUU

  Hatukamatiki: Wachezaji wa Atletico Madrid wakishangilia ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji Valencia leo, bao pekee la Raul Garcia dakika ya 43, unaowafanya waeongoze La Liga iliyofikia ukingoni kwa pointi sita zaidi.  
  Flying high: Atletico Madrid's Raul Garcia rises above Valencia's Jeremy Mathieu to score the opener
  Leading by example: The Atleti captain was too strong in the air for Valencia's defence to handle
  Nyota wa Atletico Madrid, Raul Garcia akishangilia bao lake pekee
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ATLETICO MADRID HAIKAMATIKI LA LIGA, REAL NA BARCA ZIANDIKE MAUMIVU TU MWAKA HUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top