• HABARI MPYA

  Jumapili, Aprili 20, 2014

  SHAMRASHAMRA ZA UBINGWA AZAM FC JANA, ILIKUWA RAHA

  Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ukurugenzi ya Azam FC, Abubakar Bakhresa akiwa na Kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana katika chumba maalum ndani ya Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam 
  Mwenyekiti wa Azam FC, Sheikh Said Mohammed katikati akiwa na Kombe
  Mjumbe wa Bodi ya Ukurugenzi ya Azam FC akiwa ameshika taji hilo na rafiki yake kulia
  Mjumbe wa Bodi ya Ukurugenzi, Omar Bakhresa akiwa ameshika Kombe
  Yussuf Bakhresa akiwa ameshika Kombe kwa pamoja na mwanawe na Mweka Hazina wa Azam FC, Karim Mapesa kushoto
  Watoto wa Wakurugenzi wakifurahia na Kombe
  Wachezaji wa Azam FC wakijiandaa kukabidhiwa Kombe
  Rais wa TFF, Jamal Malinzi akimvalisha Medali kocha wa Azam, Mcameroon, Joseph Marius Omog
  Malinzi akimvalisha Medali mtoto wa mshambuliaji wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba
  Mashabiki wakifurahia jana Uwanja wa Azam Complex
  Wadau mbalimbali wa Azam FC wakifurahia jana Uwanja wa Azam Complex

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SHAMRASHAMRA ZA UBINGWA AZAM FC JANA, ILIKUWA RAHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top