• HABARI MPYA

  Jumatano, Aprili 23, 2014

  PETR CECH ALIVYOUMIA LEO VICENTE CALDERON

  Nje: Kipa wa Chelsea, Petr Cech akisaidiwa kutoka nje baada ya kuumia dakika ya 17 katika Nusu Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu dhidi ya wenyeji Atletico Madrid Uwanja wa Vicente Calderon. Timu hizo zilitoka 0-0. Nafasi ya Cech ilichukuliwa na Schwarzer aliyemalizia mcheo vizuri. 
  Ouch! Raul Garcia bumped into Petr Cech and the Chelsea keeper felt the full force of the challenge
  Substitution: Cech landed on his arm and couldn't continue in the game
  Yalaaa! Raul Garcia akimvagaa Petr Cech na kipa huyo Chelsea aliumia na kushindwa kuendelea na mchezo
  Decision: The Chelsea medical staff take a look at the Czech keeper before deciding he has to go off
  Madaktari wa Chelsea wakimtibu kipa huyo wa kimataifa wa Jamhuri ya Czech kabla ya kutoka nje
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: PETR CECH ALIVYOUMIA LEO VICENTE CALDERON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top