• HABARI MPYA

    Saturday, April 26, 2014

    WACHEZAJI, MAKOCHA, VIONGOZI NA MASHABIKI BARCA WATOA HESHIMA ZAO KWA VILANOVA...NI HUZUNI TUPU CAMP NOU

    WACHEZAJI wa Barcelona leo wametoa heshima zao za mwisho kwa kwa aliyekuwa kocha wao, Tito Vilanova, aliyefariki dunia jana.
    Mwalimu hiyo aliyekuwa na umri wa miaka 45, amefariki dunia baada ya kusumbuliwa na saratani kwa muda mrefu tangu Novemba 2011.
    Wachezaji wa kikosi cha kwanza wa Barca walipita katika eneo maalum lililowekwa picha ya Vilanova Uwanja wa Nou Camp kutoa heshima zao.
    Huzuni: Victor Valdes, Xavi na Carles Puyol wakiwa wenye masikitiko wakati wakitoa heshima zao kwa Tito Vilanova
    Sudden: Barcelona's former boss passed away on Friday after losing a battle with throat cancer
    Simanzi: Kocha wa zamani wa Barcelona amefariki dunia jana 
    Dedication: Members of staff, including Tata Martino conducted a moments silence for Vilanova
    Viongozi pia akiwemo kocha Tata Martino walitoa heshima zao kwa Vilanova
    In their droves: Barcelona fans queue up to pay their respects to the late Vilanova
    Mashabiki wa Barcelona wakiwa wamejipanga nje ya Uwanja wa Camp Nou tayari kutoa heshima zao kwa Vilanova
    Gracias Tito: A Barcelona supporter pays his respects to Vilanova
    Solemn mood: Another Barca fan paying tribute to the former leader of his team
    Mashabiki wa Barcelona walifika Nou Camp kumshukuru na kumuaga Vilanova
    Never forgotten: A black sache placed in the centre circle of the Nou Camp pitch
    Utakumbukwa daima: Alama nyeusi katikati ya Uwanja maalum kwa kuomboleza msiba wa Vilanova
    Memorabilia: Mourning fans place flowers, candles and pictures at the Camp Nou
    Eneo ambalo mashabiki wameweka maua na kadi kwa ajili ya kuomboleza msiba wa Vilanova Uwanja wa Camp Nou
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WACHEZAJI, MAKOCHA, VIONGOZI NA MASHABIKI BARCA WATOA HESHIMA ZAO KWA VILANOVA...NI HUZUNI TUPU CAMP NOU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top