• HABARI MPYA

  Jumanne, Aprili 22, 2014

  MAN CITY YAUA 3-1, UBINGWA SASA NI WAO, LIVERPOOL NA CHELSEA

  MANCHESTER  City imeweka hai matumaini ya ubingwa wa Ligi Kuu ya England, baada ya kuilaza mabao 3-1 West Bromwich Albion usiku huu Uwanja wa Etihad.
  Ushindi huo, unaifanya City itimize pointi 74 baada ya kucheza mechi 34 na inaendelea kushikilia nafasi ya tatu kwenye msimamo nyuma ya Chelsea pointi 75 za mechi 35 na Liverpool pointi 80 za mechi 35.

  Mabao ya City usiku huu yamefungwa na Zabaleta dakika ya tatu, Aguero dakika ya 10 na Demichelis dakika ya 36,wakati la West Brom limefungwa na Dorrans dakika ya 16. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY YAUA 3-1, UBINGWA SASA NI WAO, LIVERPOOL NA CHELSEA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top