• HABARI MPYA

  Jumatatu, Aprili 28, 2014

  MASHABIKI WA CHELSEA NA LIVERPOOL WATWANGANA ANFIELD KISA GERRARD

  VURUGU ilizotokea nje ya Uwanja wa Anfield kufuatia Liverpool kufungwa na Chelsea mabao 2-0 jana.
  Picha zinaonyesha kitimutimu cha maana nje ya Uwanja wa Anfield Road baada ya mashabiki wa Liverpool kuwavaa mashabiki wa Chelsea waliokuwa wakiimba jina la Nahodha wa Wekundu hao, Steven Gerrard baada ya mechi.
  Shabiki mmoja alitupa konde kwa mwenzake, wakati wengine walitenganishwa na Polisi.
  Makosa ya Gerrard yalisababisha bao la kwanza la Chelsea lililofungwa na Demba Ba na mashabiki wa The Blues wakawatia hasira Liverpool kwa kuimba jina la mchezaji huyo. 
  Pata hiyo na ukome: Shabiki wa Liverpool akimchapa konde wa Chelsea nje ya Uwanja wa Anfield
  Chanting: Fans sing outside Anfield following Chelsea's 2-0 victory over Liverpool on Sunday afternoon
  Zomea zomea: Mashabiki wa Chelsea wakizomea kwa jeuri ya ushindi wa 2-0
  Scuffle: Supporters clashed after Liverpool fans reportedly took exception to chants about Steven Gerrard
  Wawili tu: Mashabiki wakizipiga chanzo ni kuzomewa kwa Steven Gerrard
  Tensions mounting: A police officeer on a horse surveys the scene as angry supporters clash
  Polisi wakituliza ghasia
  Not safe: A man leads a child away from the scenes while fights break out behind them
  Sio salama: Baba akiongozana na kijana wake kutoka eneo la vurugu huku watu wakiendelea kuchapana nyuma yake
  Trouble: Police had to restrain fans after things got heated as fans left the stadium
  Ilikuwa si mchezo: Polisi walilazimika kuwaachanisha watu wengine waliopelekana hadi chini katika mapambano yao
  Held back: Police act as a barricade as Liverpool fans sing and chant outside the Anfield Road end
  Wakorofi: Polisi wakiwwka uzio baina ya mashabiki wa Liverpool na Chelsea
  Setback: Liverpool's title hopes took a severe dent as the Reds were beaten at home by Chelsea
  Waacheni tuwachape: Mashabiki wa Liverpool wakisema na Polisi waliokuwa wakituliza ghasia hizo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MASHABIKI WA CHELSEA NA LIVERPOOL WATWANGANA ANFIELD KISA GERRARD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top