• HABARI MPYA

  Jumamosi, Aprili 26, 2014

  'MWEHU' BALOTELLI AMUWAKIA SEEDORF KWA KUMTOA NJE AC MILAN IKIPIGWA 2-0

  AS Roma imeendelea vyema katika mbio za ubingwa baada ya kuilaza AC Milan mabao 2-0 jana.
  Shukrani kwao wafungaji wa mabao hayo, Miralem Pjanic na Gervinho siku ambayo mshambuliaji wa AC Milan, Mario Balotelli alimuwakia kocha wake, Clarence Seedorf kwa kumtoa nje.
  Matokeo hayo yanapunguza pengo la pointi kati ya Roma inayoshika nafasi ya pili na Juventus iliyo kileleni hadi kubaki pointi tano kabla ya vinara hao wa Serie A kucheza na Sassuolo Jumatatu. 
  Hana furaha: Mario Balotelli akimuwakia kocha wa Milan, Clarence Seedorf kwa kumtoa nje jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: 'MWEHU' BALOTELLI AMUWAKIA SEEDORF KWA KUMTOA NJE AC MILAN IKIPIGWA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top