• HABARI MPYA

  Jumatano, Aprili 23, 2014

  STARS MPYA, UZI MPYA NA SAPOTI MPYA...

  Kikosi kipya cha timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mazoezi leo Kunduchi kilipoweka kambi katika hoteli ya Kunduchi Beach, Dar es Salaam. Stars Jumamosi itamenyana na Burundi katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Tujitotokeze kuuona mseto huu mpya wa vipaji chini ya makocha wazalendo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: STARS MPYA, UZI MPYA NA SAPOTI MPYA... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top