• HABARI MPYA

  Jumamosi, Aprili 19, 2014

  AZAM FC WAKABIDHIWA MWALI WAO...PATI LINAENDELEA CHAMAZI


  Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) akimkabidhi Kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Nahodha wa Azam FC, John Bocco jioni hii baada ya kuifunga bao 1-0 JKT Ruvu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
  Mabingwa wakisherehekea na taji lao, sherehe za ubingwa zinaanza sasa Complex hadi usiku wa manane
  Mwenye timu; Mmoja wa Wakurugenzi wa Azam FC, Yussuf Bakhresa akifuarhia Uwanja wa Azam Complex leo
  Watoto Said kulia na Idha kushoto wakiwa Uwanja wa Azam Complex
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC WAKABIDHIWA MWALI WAO...PATI LINAENDELEA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top