• HABARI MPYA

  Jumatatu, Aprili 28, 2014

  LUIS SUAREZ ABEBA TUZO YA MWANASOKA BORA WA MWAKA ENGLAND, HAZARD NAYE ANG'ARA

  WANASOKA BORA WA MWAKA ENGLAND

  Mchezaji Bora wa Mwaka: Luis Suarez (Liverpool).
  Mchezaji Bora Chipukizi wa mwaka: Eden Hazard (Chelsea).
  Mchezaji Bora wa kike wa Mwaka: Lucy Bronze (Liverpool Ladies).
  Mchezaji Bora chipukizi wanawake: Martha Harris (Liverpool Ladies).
  MSHAMBULIAJI Luis Suarez ameshinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa Mwaka Chama cha Wachezaji wa Kulipwa England jana baada ya kufunga mabao 30 msimu huu wa Ligi Kuu na kuisaidia timu yake, Liverpool kuongoza mbio za ubingwa.
  Wazi tuzo hiyo inakuja kupoza machungu ya mchezaji huyo anayevalia jezi namba saba baada ya misimu iliyopita kufungiwa kwa kumkashifu Patrice Evra mwaka 2011 na kusababisha mzozo mkubwa msimu uliopita alipofungiwa mechi 10 kwa kumng'ata beki wa Chelsea, Branislav Ivanovic.
  Akiwa amekosa mwezi wa kwanza wa msimu huu akitumikia adhabu hiyo, Suarez alirejea Liverpool mwishoni mwa September nmwaka jana na kuunda pacha kali la ushambuliaji kwa pamoja na Daniel Sturridge.
  Wote wanatabasamu: Suarez akiwa amepeozi na Eden Hazard wa Chelsea, ambaye ameshinda tuzo ya mwanasoka bora chipukizi wa mwaka
  Well-deserved: Liverpool striker Luis Suarez scooped the PFA Player of the Year award on Sunday night
  Well-deserved: Liverpool striker Luis Suarez scooped the PFA Player of the Year award on Sunday night
  Alistahili kabisa: Mshambuliaji wa Liverpool, Luis Suarez alistahili tuzo hiyo ya PFA

  WASHINDI WA AWALI WA TUZO YA MWANASOKA BORA WA MWAKA ENGLAND

  1973–74     Norman Hunter     Leeds United        
  1974–75     Colin Todd     Derby County        
  1975–76     Pat Jennings     Tottenham Hotspur
  1976–77     Andy Gray     Aston Villa
  1977–78     Peter Shilton     Nottingham Forest 
  1978–79     Liam Brady     Arsenal
  1979–80     Liverpool     FWA
  1980–81     John Wark     Ipswich Town        
  1981–82     Kevin Keegan     Southampton        
  1982–83     Kenny Dalglish     Liverpool
  1983–84     Ian Rush     Liverpool    
  1984–85     Peter Reid     Everton        
  1985–86     Gary Lineker     Everton    
  1986–87     Clive Allen     Tottenham Hotspur
  1987–88     John Barnes     Liverpool    
  1988–89     Mark Hughes     Man United   
  1989–90     David Platt     Aston Villa        
  1990–91     Mark Hughes     Man United    
  1991–92     Gary Pallister     Man United  
  1992–93     Paul McGrath     Aston Villa        
  1993–94     Eric Cantona     Man United   
  1994–95     Alan Shearer     Blackburn Rovers     
  1995–96     Les Ferdinand     Newcastle United   
  1996–97     Alan Shearer     Newcastle United      
  1997–98     Dennis Bergkamp Arsenal    
  1998–99     David Ginola     Tottenham Hotspur    
  1999–2000     Roy Keane     Man United    
  2000–01     Teddy Sheringham     Man United    
  2001–02     Ruud van Nistelrooy     Man United    
  2002–03     Thierry Henry     Arsenal    
  2003–04     Thierry Henry     Arsenal
  2004–05     John Terry     Chelsea        
  2005–06     Steven Gerrard     Liverpool        
  2006–07     Cristiano Ronaldo     Man United
  2007–08     Cristiano Ronaldo     Man United
  2008–09     Ryan Giggs     Man United
  2009–10     Wayne Rooney     Man United    
  2010–11     Gareth Bale     Tottenham Hotspur     
  2011–12     Robin van Persie     Arsenal
  2012–13     Gareth Bale     Tottenham Hotspur
  Double delight: Gareth Bale won both the Player of the Year and Young Player of the Year awards on Sunday
  Tuzo mbili: Gareth Bale alishinda tuzo zote, Mwanasoka Bora chipukizi na Mwanasoka Bora England mwaka jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LUIS SUAREZ ABEBA TUZO YA MWANASOKA BORA WA MWAKA ENGLAND, HAZARD NAYE ANG'ARA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top