JUMA PONDAMALI DOLE TUPU, SHABIKI WA NYOSSO AKILA KIBANO CHA POLISI MKWAKWANI
Kocha wa makipa wa klabu ya Coastal Union ya Tanga, Juma Pondamali anayetumikia adhabu ya kufungiwa mwaka mmoja kwa sasa alikuwa jukwaani Jumamosi timu yake ikimenyana na Azam FC ya Dar es Salaam Uwanja wa Mkwakwani, Tanga na kutoka sare ya bila kufungana.
Shabiki aliyeleta fujo siku hiyo akidhibitwa na Polisi
Polisi akimtoa nje shabiki wa Coastal Union, ambaye pia ni shabiki wa beki Juma Nyosso baada ya kuleta fujo siku hiyo