Nahodha wa Brazil, Neymar akishangilia baada ya kuifungia bao pekee timu yake dakika ya 76 kwa penalti katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Uruguay kwenye mchezo wa kirafiki Uwanja wa Emirates mjini London ulioshuhudiwa kadi nane za njano zikitolewa kwa wapinzani hao wa Amerika Kusini PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Jerry Rice's Son Brenden, Frank Gore Jr. Top Landing Spots After 2024 NFL
Draft Day 2
-
After the first three rounds of the draft, a pair of NFL legends' sons
remain undrafted. USC wide receiver Brendan Rice, son of Jerry Rice, and
Southern Miss…
22 minutes ago
0 comments:
Post a Comment