• HABARI MPYA

    Wednesday, November 15, 2017

    MABEKI ENGLAND WAMDHIBITI NEYMAR ASHINDWA KUFUNGA

    Beki wa England, John Stones akiokoa mpira wa juu kwa mguu dhidi ya mshambuliaji wa Brazil, Neymar katika mchezo wa kirafiki usiku wa jana Uwanja wa Wembley, London. Timu hizo zilitoka sare ya 0-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MABEKI ENGLAND WAMDHIBITI NEYMAR ASHINDWA KUFUNGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top