// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); RONALDO AREJEA MAZOEZINI REAL MADRID IKIJIANDAA NA ATLETICO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE RONALDO AREJEA MAZOEZINI REAL MADRID IKIJIANDAA NA ATLETICO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, November 14, 2017

    RONALDO AREJEA MAZOEZINI REAL MADRID IKIJIANDAA NA ATLETICO

    Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akipiga shuti wakati wa mazoezi ya timu yake, Real Madrid kujiandaa na mchezo wa La Liga dhidi ya mahasimu wa Jiji, Atletico Madrid Jumamosi baada ya kurejea kufuatia mapumziko mafupi ya kwenda kuwa na mpenzi wake, Georgina Rodriguez aliyejifungua mwishoni mwa wiki 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO AREJEA MAZOEZINI REAL MADRID IKIJIANDAA NA ATLETICO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top