• HABARI MPYA

  Wednesday, November 15, 2017

  LUKAKU SASA NDIYE KINARA WA MABAO WA MUDA WOTE UBELGIJI

  Romelu Lukaku akiifungia kwa kichwa Ubelgiji bao pekee la ushindi dakika ya 72 ikiilaza Japan 1-0 usiku wa jana Uwanja wa Jan Breydelstadion mjini Brugge katika mchezo wa kirafiki na kuweka rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa timu yake ya taifa, akifikisha mabao 31 na kumpiku Bernard Voorhoof aliyefunga mabao 30 kati ya mwaka 1928 na 1940 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LUKAKU SASA NDIYE KINARA WA MABAO WA MUDA WOTE UBELGIJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top