• HABARI MPYA

    Sunday, January 10, 2016

    BALE APIGA TATU, BENZEMA MBILI, REAL YA ZIDANE YAUA 5-0 LA LIGA

    Nyota wa Real Madrid, Gareth Bale akiondoka na mpira usiku wa jana Uwanja wa Bernabeu baada ya kufunga mabao matatu peke yake katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Deportivo La Coruna kwenye mchezo wa La Liga. Mabao mengine ya Real katika mchezo wa kwanza wa kocha mpya Zinadine Zidane, yamefungwa na Karim Benzema mawili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BALE APIGA TATU, BENZEMA MBILI, REAL YA ZIDANE YAUA 5-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top