• HABARI MPYA

  Friday, January 08, 2016

  AZAM FC, MAFUNZO WALIVYOIPA 'MKONO WA KWAHERI' MICHUANO YA MAPINDUZI 2016

  Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Herman Tchetche akiwatoka wachezaji wa Mafunzo katika mchezo wa Kundi B jana jioni Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Mafuno ilishinda 2-1, lakini zote zimeaga michuano hiyo huku Yanga SC na Mtibwa Sugar zikitinga Nusu Fainali
  Kiungo wa Azam FC, Mudathir Yahya akipiga mpira mbele ya beki wa Mafunzo, Samih Haji Nuhu
  Mshambuliajia wa Azam FC, Allan Wanga (kushoto) akiwania mpira wa juu dhidi ya beki wa Mafunzo
  Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akipambana na beki wa Mafunzo, Juma Othman
  Beki wa Azam FC, Erasto Nyoni akimuacha chini beki wa Mafunzo jana Uwanja wa Amaan
  Winga Farid Mussa wa Azam FC, akiwageuza mabeki wa Mafunzo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC, MAFUNZO WALIVYOIPA 'MKONO WA KWAHERI' MICHUANO YA MAPINDUZI 2016 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top