• HABARI MPYA

  Saturday, July 06, 2013

  SPURS YATANGAZA RASMI KUMSAJILI POULINHO ALIYENG'ARA NA BRAZIL KOMBE LA MABARA

  IMEWEKWA JULAI 6, 2013 SAA 8:14 MCHANA
  KLABU ya Tottenham  imekamilisha usajili wa kiungo Paulinho kutoka Corinthians kwa ada ya Pauni Milioni 17.1.
  Spurs imetangaza leo asubuhi kwamba, kiungo hiyo Mbrazil mwenye umri wa miaka 24 amekamilisha upimaji wa afya katika klabu hiyo.
  Paulinho amesema: "Nina furaha sana ninayevutiwa na kuhamia Spurs. Ni kitu kizuri katika maisha yangu ya soka kuwa katika klabu kunwa kama Tottenham,".
  New face: Tottenham have confirmed the signing of Paulinho from Corinthians
  Sura nzuri: Tottenham imethibitisha usajili wa Paulinho kutoka Corinthians
  Kick-ups: Paulinho shows off his skills in this image released on Tottenham's official website
  Paulinho akionyesha uwezo wake katika picha hii iliyopatikana kwenye tovuti ya Tottenham

  Poulinho alikuwemo kwenye kikosi cha Brazil kilichotwaa Kombe la Mabara Jumapili iliyopita kwa kuifunga 3-0 Hispania katika Fainali Uwanja wa Maracana. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: SPURS YATANGAZA RASMI KUMSAJILI POULINHO ALIYENG'ARA NA BRAZIL KOMBE LA MABARA Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top