• HABARI MPYA

  Sunday, July 02, 2023

  TANZANIA YASHIKA NAFASI YA TATU MICHEZO YA UFUKWENI AFRIKA


  TANZANIA imemaliza nafasi ya tatu, nyuma ya Morocco na Senegal katika Michezo ya Ufukweni upande wa soka baada ya kushinda mechi mbili dhidi ya Libya na Kenya na kufungwa mbili dhidi ya Morocco na Senegal.
  Tanzania iliyo chini ya kocha Boniphace Pawasa ilfungwa na Morocco 6-4 na Senegal 7-1, huku yenyewe ikiibuka na ushindi wa 5-3 dhidi ya Kenya na 9-3 dhidi ya Libya katika michezo iliyomalizika juzi fukwe za Hammamet nchini Tunisia. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TANZANIA YASHIKA NAFASI YA TATU MICHEZO YA UFUKWENI AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top