• HABARI MPYA

  Sunday, July 02, 2023

  AZAM FC YAKAMILISHA USAJILI YA MKALI KUTOKA RAJA CASABLANCA


  KIUNGO mshambuliaji wa Kimataifa wa Gambia, Gibril Sillah, 'The Killer', amekamilisha taratibu za kujiunga na klabu ya Azam baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili akitokea Raja Club Athletic, maarufu kama Raja Casablanca.
  Huyo mchezaji wa pili tu mpya kuelekea msimu ujao, baada ya kiungo mwingine mshambuliaji Feisal Salum kutoka Yanga ya nyumbani, Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YAKAMILISHA USAJILI YA MKALI KUTOKA RAJA CASABLANCA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top