• HABARI MPYA

  Friday, May 05, 2023

  SIMBA SC YAWASILI MTWARA TAYARI KUIVAA AZAMFC JUMAPILI


  KIKOSI cha Simba kimewasili Mtwara leo kwa ajili ya mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) Jumapili dhidi ya Azam FC Uwanja wa Namgwanda Sijaona.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC YAWASILI MTWARA TAYARI KUIVAA AZAMFC JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top