• HABARI MPYA

  Saturday, May 06, 2023

  WACHEZAJI AZAM FC WAPO TAYARI KUIKABILI SIMBA KESHO NANGWANDA


  BEKI Mzimbabwe wa Azam FC, Bruce Kangwa amesema kwamba wao kama wachezaji wapo tayari kuikabili Simba katika Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Feseration Cup (ASFC) kesho Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara.
  VÍDEO: BRUCE KANGWA AKIZUNGUMZA LEO MTWARA 
  Kwa upande wake, Kocha Kali Ongala amesema kwamba anafurahi kwa mara ya kwanza baada ya muda mrefu atakuwa na wachezaji karibu wote walio fiti ambao wanapigania kuanza kwenye mchezo wa kesho.
  VÍDEO: KALI ONGALA AKIZUNGUMZA LEO MTWARA 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WACHEZAJI AZAM FC WAPO TAYARI KUIKABILI SIMBA KESHO NANGWANDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top