• HABARI MPYA

  Saturday, May 06, 2023

  NDANDA FC YAJITOA CHAMPIONSHIP WAKATI INASHIKA MKIA


  TIMU ya Ndanda FC ya Mtwara imejitoa katika Ligi ya Championship kutokana na kile walichokieleza kukabiliwa na hali ngumu kifedha kiasi cha kushindwa kusafiri kwa mechi za ugenini.
  Ndanda wanajitoa wakati Ligi ya Championship ipo ukingoni, imebakiza raundi nne kukamilika, wakiwa wanashika nafasi ya 15 na ya mwisho baada ya awali Gwambina FC kujitoa pia.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NDANDA FC YAJITOA CHAMPIONSHIP WAKATI INASHIKA MKIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top