• HABARI MPYA

  Saturday, May 06, 2023

  TSHABALALA: NI NAFASI YETU PEKEE YA KUTWAA TAJI MSIMU HUU


  BEKI wa kushoto wa Simba, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ amesema Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania ndio taji pekee wanaloweza kutwaa msimu huu baada ya kuachwa mbali na watani, Yanga katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara.
  Tshabalala amesema hayo katika mkutano na Waandishi wa Habari leo mjini Mtwara kuelekea mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la TFF, maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya Azam FC kesho Uwanja wa Nangwanda Sijaona.
  VÍDEO: TSHABALALA AKIZUNGUMZA LEO MTWARA
  Kwa upande wake, Kocha Msaidizi wa Simba, Juma Mgunda amesema kwamba wanatarajia mchezo ngumu kesho, kwani Azam FC mi timu nzuri.
  VÍDEO: JUMA MGUNDA AKIZUNGUMZA LEO MTWARA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TSHABALALA: NI NAFASI YETU PEKEE YA KUTWAA TAJI MSIMU HUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top