• HABARI MPYA

  Saturday, May 06, 2023

  TUHUMA ZA RUSHWA ZA ULIMBOKA NA KITUMBO ZAPELEKWA KAMATI YA MAADILI TFF


  TUHUMA za rushwa zinazowahusu Mwenyekiti wa Chama cha Soka Tabora (TAREFA), Yusuph Kitumbo na aliyekuwa kocha wa Fountain Gate, Ulimboka Mwakingwe zimefikishwa Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TUHUMA ZA RUSHWA ZA ULIMBOKA NA KITUMBO ZAPELEKWA KAMATI YA MAADILI TFF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top