• HABARI MPYA

  Thursday, August 04, 2022

  BILIONEA GHALIB, BOSI WA GSM NA RAIS WA YANGA KATIKA MATEMBEZI


  MDHAMIMI na Mfadhili wa Yanga SC, Ghalib Said Mohamed (GSM), Rais wa klabu, Hersi Ally Said na Mkurugenzi Mtendaji wa mpito Simon Patrick, jana jioni waliungana na Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela na baadhi ya mashabiki katika mazoezi kuelekea mbio za CRDB Benki Marathon zitakazofanyika Agosti 14.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BILIONEA GHALIB, BOSI WA GSM NA RAIS WA YANGA KATIKA MATEMBEZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top