• HABARI MPYA

  Friday, January 07, 2022

  MUIVORY COAST WA SIMBA AWA GUMZO KOMBE LA MAPINDUZI


  WINGA mpya wa Simba SC kutoka Ivory Coast, Cheick Ahmed Tenena Moukoro akimtoka mchezaji wa Selem View katika mchezo wa Kundi C Kombe la Mapinduzi juzi Uwanja wa Amaan, Zanzibar. 
  Simba ilishinda 2-0 na leo inacheza mechi yake ya pili kwenye michuano hiyo, dhidi ya wenyeji wengine, Mlandege FC hapo hapo Uwanja wa Amaan.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MUIVORY COAST WA SIMBA AWA GUMZO KOMBE LA MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top