• HABARI MPYA

  Saturday, January 01, 2022

  ARAJIGA NA WENZAKE WAFUNGIWA KWA KUVURUNDA LIGI KUU


  MAREFA kadhaa, akiwemo Ahmed Arajiga wamefungiwa, au kuondolewa kwenye orodha ya waamuzi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu kwa makosa tofauti, yote yakiashiria mapungufu makubwa ya kitaaluma kwao.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARAJIGA NA WENZAKE WAFUNGIWA KWA KUVURUNDA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top