• HABARI MPYA

  Monday, January 03, 2022

  AHMED ALLY WA AZAM TV MRITHI WA MANARA SIMBA SC


  KLABU ya Simba imemtambulisha mtangazaji mtanashati wa Azam Tv, Ahmed Ally kuwa Afisa wake mpya wa Habari na Mawasiliano, nafasi iliyoachwa wazi na Haji Sunday Manara aliyehamia kwa watani, Yanga SC.
  "Ni kijana mchapakazi, mwenye uhusiano mzuri na watu wa aina zote, mtanashati na kubwa zaidi mapenzi yake kwa Simba hayapimiki. Ahmed Ally karibu kwenye klabu ya maisha yako kuwatumikia Wanasimba kama Afisa Habari na Mawasiliano,".
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AHMED ALLY WA AZAM TV MRITHI WA MANARA SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top