• HABARI MPYA

  Jumatatu, Desemba 07, 2020

  AZAM FC YALAZIMISHWA SARE YA BILA KUFUNGANA NA GWAMBINA FC MECHI YA LIGI KUU LEO MISUNGWI

  AZAM FC imelazimishwa sare ya bila kufungana na wenyeji, Gwambina FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Gwambina, Misungwi mkoani Mwanza. 
  Azam FC inafikisha pointi 27, ingawa wanabaki nafasi ya pili wakizidiwa pointi saba na vinara, Yanga SC baada ya wote kucheza mechi 14.
  Mabingwa watetezi, Simba SC wanashika nafasi ya tatu wakiwa na pointi 23 baada ya kucheza mechi 11
  .

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC YALAZIMISHWA SARE YA BILA KUFUNGANA NA GWAMBINA FC MECHI YA LIGI KUU LEO MISUNGWI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top