• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 04, 2020

  TORRES APIGA LA KWANZA MAN CITY YASHINDA 3-0 ETIHAD


  MSHAMBULIAJI Mspaniola Ferran Torres akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ua 12 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Olympiakos kwenye mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Man City yalifungwa na Gabriel Jesus dakika ya 81 na Joao Cancelo dakika ya 90 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi tisa na kuendelea kuongoza kundi kwa pointi tatu zaidi ya Porto wanaofuatia
   

   


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TORRES APIGA LA KWANZA MAN CITY YASHINDA 3-0 ETIHAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top