• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 15, 2020

  SABILO, MAGINGI NA MSHAMBULIAJI MGHANA WAJIUNGA NA NAMUNGO FC KUTOKA TIMU MBALIMBALI ZA BARA

  Mshambuliaji Sixtus Sabilo akwa ameshika jezi ya Namungo FC baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja kujiunga na timu hiyo ya Ruangwa mkoani Lindi kutoka Polisi Tanzania ya Kilimanjaro

  Frank Magingi akiwa ameshika jezi ya Namungo FC baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na timu hiyo akitokea Mwadui FC ya Shinyanga

  Mshambuliaji Mghana, Stephen Sey akiwa ameshika jezi ya Namungo FC baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kujiunga nayo akitokea Singida United iliyoshuka daraja
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SABILO, MAGINGI NA MSHAMBULIAJI MGHANA WAJIUNGA NA NAMUNGO FC KUTOKA TIMU MBALIMBALI ZA BARA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top