• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 15, 2020

  MWAKINYO ATWAA TAJI LA WBF BAADA YA KUMDUNDA MKONGO

  Bondia Hassan Mwakinyo wa Tanzania (kushoto) akimpigia hesabu mpinzani wake, Tshibangu Kayembe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wakati wa pambano la raundi 12 kuwania ubingwa wa Mabara wa WBF uzito wa Super Welter usiku wa kuamkia leo ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam. Mwakinyo alishinda kwa pointi. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MWAKINYO ATWAA TAJI LA WBF BAADA YA KUMDUNDA MKONGO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top